Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 6:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 ili wakuche wewe, waziendee njia zako, siku zote watakazoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Hivyo watakutii na kuenenda katika njia zako wakati wote wanapoishi katika nchi uliyowapa babu zetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 ili wakuogope na kuenenda katika utiifu kwako wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 ili wakuogope kwa wakati wote watakaoishi katika nchi uliyowapa baba zetu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 6:31
8 Marejeleo ya Msalaba  

basi usikie huko mbinguni, ukaapo, ukasamehe, ukampatilize kila mtu kwa kadiri ya njia zake zote; wewe umjuaye moyo; (maana wewe peke yako ndiwe uijuaye mioyo ya wanadamu);


Hata na mgeni naye, asiyekuwa mmoja wa watu wako Israeli, atakapokuja kutoka nchi iliyo mbali sana kwa ajili ya jina lako kuu, na mkono wako ulio hodari, na mkono wako ulionyoshwa; hao watakapokuja na kuomba wakiielekea nyumba hii;


Kisha akamwambia mwanadamu, Tazama, kumcha Bwana ndiyo hekima, Na kujitenga na uovu ndio ufahamu.


Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake.


Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.


Musa akawaambia watu, Msiogope, maana Mungu amekuja ili awajaribu, na utisho wake uwe mbele yenu, ili kwamba msifanye dhambi.


Basi kanisa likapata raha kote katika Yudea na Galilaya na Samaria, likajengwa, likiendelea na kuongezeka katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Mcheni BWANA tu, mkamtumikie kwa kweli kwa mioyo yenu yote; maana, kumbukeni jinsi alivyowatendea mambo makuu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo