2 Mambo ya Nyakati 5:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Wakakutana watu wote wa Israeli mbele ya mfalme wakati wa sikukuu, katika mwezi wa saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Ndipo wote walipokutana mbele ya mfalme katika sikukuu ya mwezi wa saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Ndipo wote walipokutana mbele ya mfalme katika sikukuu ya mwezi wa saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Ndipo wote walipokutana mbele ya mfalme katika sikukuu ya mwezi wa saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nao wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa mfalme wakati wa sikukuu ya mwezi wa saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nao wanaume wote wa Israeli wakakusanyika kwa mfalme wakati wa sikukuu mwezi wa saba. Tazama sura |