2 Mambo ya Nyakati 5:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Hamkuwa na kitu ndani ya sanduku, ila zile mbao mbili alizozitia Musa huko Horebu, BWANA alipofanya agano na wana wa Israeli, hapo walipotoka Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hakukuwa na kitu ndani ya sanduku la agano, ila vile vibao viwili vya mawe ambavyo Mose aliviweka humo kule Horebu, mahali Mwenyezi-Mungu alipofanya agano na watu wa Israeli, walipotoka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hakukuwa na kitu ndani ya sanduku la agano, ila vile vibao viwili vya mawe ambavyo Mose aliviweka humo kule Horebu, mahali Mwenyezi-Mungu alipofanya agano na watu wa Israeli, walipotoka Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hakukuwa na kitu ndani ya sanduku la agano, ila vile vibao viwili vya mawe ambavyo Mose aliviweka humo kule Horebu, mahali Mwenyezi-Mungu alipofanya agano na watu wa Israeli, walipotoka Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ndani ya Sanduku hapakuwa na kitu kingine chochote isipokuwa vile vibao viwili ambavyo Musa aliviweka ndani yake huko Horebu, mahali Mwenyezi Mungu alipofanya agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ndani ya Sanduku hapakuwepo kitu kingine chochote isipokuwa zile mbao mbili ambazo Musa alikuwa ameziweka ndani yake huko Horebu, mahali ambapo bwana alifanya Agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri. Tazama sura |