2 Mambo ya Nyakati 4:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 na vinara na taa zake, ziwake kama ilivyoagizwa mbele ya chumba cha ndani, vya dhahabu iliyosafika; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 vinara na taa za dhahabu safi za kuangazia mahali pale patakatifu sana, kama ilivyoamriwa; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya mahali patakatifu kama ilivyoelekezwa; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 vinara vya taa vya dhahabu safi pamoja na taa zake ili ziwake mbele ya sehemu takatifu ya ndani kama ilivyoelekezwa; Tazama sura |
nao humtolea BWANA kila asubuhi, na kila jioni, sadaka za kuteketezwa na fukizo la manukato; mikate ya wonyesho pia huiweka kwa taratibu yake juu ya meza takatifu, na kinara cha dhahabu chenye taa zake, kuwaka kila jioni; kwa maana sisi tunayatunza maagizo ya BWANA, Mungu wetu; bali ninyi mmemwacha.