2 Mambo ya Nyakati 4:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Nayo bahari akaiweka upande wa kulia kwa mashariki, kuelekea kusini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 na lile tangi akaliweka kwenye pembe ya kusini-mashariki ya nyumba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Akaiweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini-mashariki mwa nyumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Akaweka ile Bahari upande wa kusini, kwenye pembe ya kusini mashariki ya nyumba. Tazama sura |