Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 36:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

3 Naye mfalme wa Misri akamwondoa katika Yerusalemu, akaitoza nchi talanta mia moja za fedha, na talanta moja ya dhahabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Baadaye mfalme wa Misri alimwondoa huko Yerusalemu na akaitoza nchi kodi ya kilo 3,400 za fedha na kilo 34 za dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Baadaye mfalme wa Misri alimwondoa huko Yerusalemu na akaitoza nchi kodi ya kilo 3,400 za fedha na kilo 34 za dhahabu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Baadaye mfalme wa Misri alimwondoa huko Yerusalemu na akaitoza nchi kodi ya kilo 3,400 za fedha na kilo 34 za dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Mfalme wa Misri akamwondoa madarakani huko Yerusalemu, na akatoza Yuda kodi ya talanta mia moja za fedha, na talanta moja ya dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Mfalme wa Misri akamwondoa madarakani huko Yerusalemu na akatoza Yuda kodi ya talanta 100 za fedha na talanta moja ya dhahabu.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 36:3
3 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Farao Neko akamfunga huko Ribla, katika nchi ya Hamathi, ili asitawale huko Yerusalemu. Akaitoza nchi kodi talanta mia moja za fedha na talanta ya dhahabu.


Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu.


Mfalme wa Misri akamtawaza Eliakimu nduguye awe mfalme juu ya Yuda na Yerusalemu, akambadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Neko akamtwaa Yehoahazi nduguye, akamchukua mpaka Misri.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo