2 Mambo ya Nyakati 36:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala huko Yerusalemu miezi mitatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala; akatawala kwa muda wa miezi mitatu huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na tatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miezi mitatu. Tazama sura |