2 Mambo ya Nyakati 34:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Akawafanya wote walioonekana katika Yerusalemu na Benyamini walikubali. Na wenyeji wa Yerusalemu wakafanya kulingana na agano la Mungu, Mungu wa baba zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Tena aliwafanya wote waliokuwa katika Yerusalemu na katika Benyamini kuzingatia agano. Nao wakazi wa Yerusalemu waliishi kwa kufuata agano la Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Tena aliwafanya wote waliokuwa katika Yerusalemu na katika Benyamini kuzingatia agano. Nao wakazi wa Yerusalemu waliishi kwa kufuata agano la Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Tena aliwafanya wote waliokuwa katika Yerusalemu na katika Benyamini kuzingatia agano. Nao wakazi wa Yerusalemu waliishi kwa kufuata agano la Mungu, Mungu wa babu zao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Ndipo akamtaka kila mmoja katika Yerusalemu na Benyamini kuweka ahadi zao wenyewe kwa hilo agano, watu wa Yerusalemu wakafanya hivyo kwa kufuata agano la Mwenyezi Mungu, Mungu wa baba zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Ndipo akamtaka kila mmoja katika Yerusalemu na Benyamini kuweka ahadi zao wenyewe kwa hilo Agano, watu wa Yerusalemu wakafanya hivyo kwa kufuata Agano la bwana, Mungu wa baba zao. Tazama sura |