2 Mambo ya Nyakati 34:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Ndipo mfalme akapeleka wajumbe, akawakusanya wazee wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Kisha mfalme Yosia aliita na kukusanya viongozi wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Kisha mfalme Yosia aliita na kukusanya viongozi wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Kisha mfalme Yosia aliita na kukusanya viongozi wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Kisha mfalme akawaita pamoja wazee wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Kisha mfalme akawaita pamoja wazee wote wa Yuda na Yerusalemu. Tazama sura |