Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 34:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Nao wameimimina fedha iliyoonekana nyumbani mwa BWANA, nayo wameitia mikononi mwa wasimamizi, na mikononi mwa watenda kazi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wametoa fedha zilizopatikana katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu, halafu wamezikabidhi kwa wasimamizi na mafundi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wamelipa fedha zilizokuwa katika Hekalu la Mwenyezi Mungu na wamewakabidhi wasimamizi na wafanyakazi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wamelipa fedha zilizokuwa katika Hekalu la bwana na wamewakabidhi wasimamizi na wafanyakazi.”

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 34:17
2 Marejeleo ya Msalaba  

Shafani akampelekea mfalme hicho kitabu, tena akampasha mfalme habari, akisema, Yote waliyokabidhiwa watumishi wako, wanayafanya.

Shafani mwandishi akamweleza mfalme, akisema, Hilkia kuhani amenipa kitabu. Shafani akasoma ndani yake mbele ya mfalme.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo