2 Mambo ya Nyakati 34:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Shafani akampelekea mfalme hicho kitabu, tena akampasha mfalme habari, akisema, Yote waliyokabidhiwa watumishi wako, wanayafanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Naye Shafani akampelekea mfalme na kumpasha habari, akisema, “Yote watumishi wako waliyokabidhiwa wanayafanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kisha Shafani akakipeleka kile Kitabu kwa mfalme na kumwambia, “Maafisa wako wanafanya kila kitu kama walivyokabidhiwa kufanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kisha Shafani akakipeleka kile Kitabu kwa mfalme na kumwambia, “Maafisa wako wanafanya kila kitu kama walivyokabidhiwa kufanya. Tazama sura |