2 Mambo ya Nyakati 33:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Wala hakujinyenyekeza mbele za BWANA, kama Manase babaye alivyojinyenyekeza; lakini huyo Amoni akaongeza makosa juu ya makosa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Naye hakujinyenyekesha mbele za Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Manase, lakini yeye aliongeza kutenda makosa zaidi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za Mwenyezi Mungu, badala yake Amoni alijiongeza hatia zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Lakini tofauti na Manase baba yake, hakujinyenyekeza mbele za bwana, badala yake Amoni aliongeza hatia zaidi na zaidi. Tazama sura |