Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 33:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama alivyofanya Manase babaye; Amoni akazitolea dhabihu sanamu zote alizozifanya Manase babaye, akazitumikia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Pia alitoa sadaka na kutumikia sanamu ambazo Manase baba yake alichonga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Pia alitoa sadaka na kutumikia sanamu ambazo Manase baba yake alichonga.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile Manase baba yake alivyofanya. Pia alitoa sadaka na kutumikia sanamu ambazo Manase baba yake alichonga.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Akatenda maovu machoni mwa Mwenyezi Mungu, kama baba yake Manase alivyofanya. Amoni akaabudu na kutoa dhabihu kwa sanamu zote alizokuwa ametengeneza Manase.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. Amoni akaabudu na kutoa dhabihu kwa sanamu zote alizokuwa ametengeneza Manase.

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 33:22
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, kama Manase babaye alivyofanya.

Kisha nikawaambia watoto wao jangwani, Msiende katika amri za baba zenu, wala msizishike hukumu zao, wala msijitie unajisi kwa vinyago vyao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo