2 Mambo ya Nyakati 33:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka miwili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala Yuda; alitawala miaka miwili huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Amoni alikuwa na umri wa miaka ishirini na mbili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili, alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Tazama sura |