2 Mambo ya Nyakati 33:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Hata alipokuwa katika taabu, akamsihi BWANA, Mungu wake, akajinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Wakati alipokuwa taabuni, alimwomba Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, akajinyenyekesha sana mbele ya Mungu wa babu zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Katika dhiki yake akamsihi Mwenyezi Mungu, Mungu wake, na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Katika dhiki yake akamsihi bwana Mwenyezi Mungu wake na kujinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake. Tazama sura |