Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 33:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 Naye BWANA akasema na Manase, na watu wake; wala wasiangalie.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mwenyezi-Mungu alimwonya Manase na watu wake, lakini hawakumsikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mwenyezi Mungu akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 bwana akasema na Manase pamoja na watu wake, lakini hawakumjali.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 33:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akanena kwa watumishi wake manabii, akisema,


Basi mambo yote ya Manase yaliyosalia, na maombi yake kwa Mungu wake, na maneno ya waonaji walionena naye kwa jina la BWANA, Mungu wa Israeli, tazama, yameandikwa kati ya mambo ya wafalme wa Israeli.


Basi Manase aliwapotosha Yuda na wenyeji wa Yerusalemu, hata wakazidi kufanya mabaya kuliko mataifa, aliowaharibu BWANA mbele ya wana wa Israeli.


Kwa kuwa nimeita, nanyi mkakataa; Nimeunyosha mkono wangu, wala hakuna aliyeangalia;


Bali mmeupuuza ushauri wangu, Wala hamkutaka maonyo yangu;


Msiwe ninyi kama baba zenu, ambao manabii wa zamani waliwalilia, wakisema, BWANA wa majeshi asema hivi, Rudini sasa, na kuziacha njia zenu mbovu, na matendo yenu maovu; lakini hawakusikia, wala kunitii, asema BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo