Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 32:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Katika siku hizo Hezekia akaugua akawa katika hatari ya kufa; akamwomba BWANA; naye akasema naye, akampa ishara.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Wakati huo, Hezekia aliugua sana, karibu na kufa. Akamwomba Mwenyezi-Mungu, naye akamjibu na kumpa ishara.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Akamwomba Mwenyezi Mungu, ambaye alimjibu na kumpa ishara.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Akamwomba bwana, ambaye alimjibu na kumpa ishara.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 32:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi mambo yote ya Hezekia yaliyosalia, na ushujaa wake wote, tena alivyolifanya birika na mfereji, akaleta maji ndani ya mji, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Yuda?


Lakini kuhusu wajumbe wa wakuu wa Babeli, waliotumwa kwake kuuliza ajabu iliyofanywa katika nchi, Mungu akamwacha, ili amjaribu, ili kwamba ayajue yote yaliyokuwamo moyoni mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo