2 Mambo ya Nyakati 32:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Basi Hezekia, alipoona ya kuwa Senakeribu amekuja, na kuazimia kupigana na Yerusalemu, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Mfalme Hezekia alipoona kwamba mfalme Senakeribu amekuja kwa kusudi la kuishambulia Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Mfalme Hezekia alipoona kwamba mfalme Senakeribu amekuja kwa kusudi la kuishambulia Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Mfalme Hezekia alipoona kwamba mfalme Senakeribu amekuja kwa kusudi la kuishambulia Yerusalemu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hezekia alipoona kuwa Senakeribu amekuja na kwamba alikusudia kufanya vita juu ya Yerusalemu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hezekia alipoona kuwa Senakeribu amekuja na kwamba alikusudia kufanya vita juu ya Yerusalemu, Tazama sura |