Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 32:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

16 Na watumishi wake wakazidi kusema juu ya BWANA Mungu, na juu ya Hezekia, mtumishi wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Watumishi wa mfalme wa Ashuru walisema maneno mengine mengi mabaya dhidi ya Mwenyezi-Mungu, na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya Bwana Mwenyezi Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Maafisa wa Senakeribu wakaendelea kunena dhidi ya bwana aliye Mungu na dhidi ya mtumishi wake Hezekia.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 32:16
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi sasa asiwadanganye Hezekia, wala asiwashawishi kwa hayo, wala msimwamini; kwa kuwa hapana mungu wa taifa lolote, wala wa ufalme wowote, aliyeweza kuwaokoa watu wake na mkono wangu, au na mkono wa baba zangu; sembuse Mungu wenu atawaokoaje ninyi na mkono wangu?


Tena akaandika waraka, kumtukana BWANA, Mungu wa Israeli, na kumwambia, akisema, Kama vile miungu ya mataifa wa nchi isivyowaokoa watu wao na mkono wangu, vivyo hivyo Mungu wa Hezekia hatawaokoa watu wake na mkono wangu.


Wameweka kinywa chao mbinguni, Na ulimi wao hutangatanga duniani.


Lakini haya yote watawatenda kwa ajili ya jina langu, kwa kuwa hawamjui yeye aliyenituma.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo