Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 31:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Ndipo Hezekia akauliza makuhani na Walawi kuhusu mafungu hayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mfalme Hezekia aliwauliza makuhani na Walawi kuhusu mafungu hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mfalme Hezekia aliwauliza makuhani na Walawi kuhusu mafungu hayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mfalme Hezekia aliwauliza makuhani na Walawi kuhusu mafungu hayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Hezekia akawauliza makuhani na Walawi kuhusu yale malundo,

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 31:9
3 Marejeleo ya Msalaba  

Azaria kuhani mkuu, wa nyumba ya Sadoki, akamjibu, akasema, Tangu watu walipoanza kuleta matoleo nyumbani kwa BWANA, tumekula na kushiba, na kusaza tele; kwa kuwa BWANA amewabariki watu wake; na kilichosalia ndiyo akiba hii kubwa.


Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuyaona yale mafungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.


Nawe uwaamuru hao makuhani walichukuao sanduku la Agano, ukawaambie, Mtakapofika ukingo wa maji ya Yordani, simameni katika Yordani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo