Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 31:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

7 Katika mwezi wa tatu wakaanza kupanga mafungu hayo, wakayamaliza katika mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Katika mwezi wa tatu walianza kuvipanga katika mafungu, wakamaliza mnamo mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakaanza kufanya haya katika mwezi wa tatu na kumaliza katika mwezi wa saba.

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 31:7
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wana wa Israeli na Yuda, waliokaa mijini mwa Yuda, wakaleta pia zaka za ng'ombe na kondoo, na zaka za vitu vilivyowekwa wakfu, alivyowekewa BWANA, Mungu wao, wakaviweka katika mafungu.

Hata walipokuja Hezekia na wakuu, na kuyaona yale mafungu, wakamhimidi BWANA, na watu wake Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo