Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 31:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Ndipo Hezekia akaamuru kutengeneza vyumba nyumbani mwa BWANA; wakavitengeneza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kisha mfalme Hezekia akawaamuru watengeneze ghala katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Wakatengeneza;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la Mwenyezi Mungu nalo hili likafanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hezekia akatoa agizo la kutengeneza vyumba vya ghala katika Hekalu la bwana nalo hili likafanyika.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 31:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nao ukuta wa nyumba akauzungushia vyumba, kushikamana na kuta za nyumba kotekote, za hekalu na za chumba cha ndani; akafanya vyumba vya mbavuni pande zote.


Mlango wa vyumba vya chini ulikuwapo upande wa kulia wa nyumba; mtu hupanda ngazi za kuzunguka mpaka vyumba vya katikati, na kutoka vile vya katikati mpaka vile vya tatu.


alikuwa amemtengenezea chumba kikubwa, hapo walipoweka zamani sadaka za unga, na ubani, na vyombo, na zaka za nafaka, na divai, na mafuta, walivyoamriwa kuwapa Walawi, na waimbaji, na mabawabu; tena sadaka za kuinuliwa zilizokuwa za makuhani.


Ndipo akanileta mpaka katika ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo