2 Mambo ya Nyakati 30:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Msiwe sasa wenye shingo ngumu kama baba zenu; lakini mjitoe kwa BWANA, mkaingie katika patakatifu pake, alipopatakasa milele, mkamtumikie BWANA, Mungu wenu, hasira yake kali iwageukie mbali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Msiwe wakaidi kama babu zenu, ila mtiini Mwenyezi-Mungu. Njoni katika hekalu lake ambalo amelitakasa milele, mumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, ili asiwakasirikie. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa Mwenyezi Mungu. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Msiwe na shingo ngumu, kama baba zenu walivyokuwa, bali nyenyekeeni kwa bwana. Njooni mahali patakatifu, alipopatakasa milele. Mtumikieni bwana Mwenyezi Mungu wenu, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nanyi. Tazama sura |