2 Mambo ya Nyakati 30:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Likawa neno jema machoni pa mfalme, na kusanyiko lote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Aidha, mpango huu ulimridhisha mfalme pamoja na watu wote waliokuwa wamekusanyika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mpango huu ukaonekana wafaa kwa mfalme na kusanyiko lote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mpango huu ukaonekana wafaa kwa mfalme na kusanyiko lote. Tazama sura |