2 Mambo ya Nyakati 30:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 BWANA akamsikia Hezekia, akawaponya watu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mwenyezi-Mungu alikubali ombi la Hezekia, akawasamehe watu hao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Naye Mwenyezi Mungu akamsikia Hezekia akawaponya watu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Naye bwana akamsikia Hezekia akawaponya watu. Tazama sura |