2 Mambo ya Nyakati 3:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Na uzani wa misumari ulikuwa shekeli hamsini za dhahabu. Alivifunika vyumba vyake ghorofani kwa dhahabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Misumari aliyoitumia ilikuwa ya uzani wa gramu 570 za dhahabu. Pia alivifunika vyumba vyote vya ghorofani kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Misumari ya dhahabu ilikuwa na uzito wa shekeli hamsini. Alivifunika pia vyumba vya juu kwa dhahabu. Tazama sura |