2 Mambo ya Nyakati 3:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Tena, akaifunikiza kwa dhahabu nyumba, na boriti, na vizingiti, na kuta zake, na milango yake; akachora makerubi kutani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: Boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: Boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Aliifunika nyumba yote kwa dhahabu: boriti zake, vizingiti vyake, kuta zake na milango yake. Kutani palichongwa viumbe wenye mabawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Akazifunika boriti za dari, miimo na vizingiti vya milango, kuta na milango ya Hekalu kwa dhahabu, naye akatia nakshi ya makerubi kwenye kuta. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Akazifunika boriti za dari, miimo na vizingiti vya milango, kuta na milango ya Hekalu kwa dhahabu, naye akatia nakshi ya makerubi kwenye kuta. Tazama sura |