2 Mambo ya Nyakati 3:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Basi hivi ndivyo vipimo vya majengo ya nyumba ya Mungu alivyoviweka Sulemani. Urefu wake ulikuwa dhiraa sitini na upana wake dhiraa ishirini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Vipimo alivyotumia Solomoni katika ujenzi wa nyumba ya Mungu, vilikuwa kadiri ya vipimo vya awali, urefu mita 27 na upana mita 9. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Vipimo alivyotumia Solomoni katika ujenzi wa nyumba ya Mungu, vilikuwa kadiri ya vipimo vya awali, urefu mita 27 na upana mita 9. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Vipimo alivyotumia Solomoni katika ujenzi wa nyumba ya Mungu, vilikuwa kadiri ya vipimo vya awali, urefu mita 27 na upana mita 9. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Msingi aliouweka Sulemani kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa na urefu wa dhiraa sitini, na upana wa dhiraa ishirini kwa kipimo cha kale. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Msingi aliouweka Sulemani kwa ajili ya kulijenga Hekalu la Mungu ulikuwa urefu wa dhiraa sitini na upana dhiraa ishirini. Tazama sura |