2 Mambo ya Nyakati 3:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Yakaenea mabawa ya makerubi hayo dhiraa ishirini; yakasimama juu ya miguu yao, na nyuso zao ziliielekea nyumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Urefu wa mabawa mawili ya viumbe hawa ni mita 4.5. Yalisimama sambamba, nyuso za viumbe wenye mabawa zikielekea ukumbini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mabawa ya makerubi hawa yalitanda dhiraa ishirini. Walisimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea ukumbi mkubwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mabawa ya makerubi hawa yalitanda dhiraa ishirini. Walisimama kwa miguu yao, nyuso zao zikielekea ukumbi mkubwa. Tazama sura |