2 Mambo ya Nyakati 29:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kwa kuwa, tazama, baba zetu wameangamia kwa upanga, na wana wetu, na binti zetu, na wake zetu wametekwa kwa ajili ya hayo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Baba zetu waliuawa vitani, na wana wetu na binti zetu na wake zetu ni mateka kwa sababu hiihii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu wa kiume na wa kike, na pia wake zetu wamekuwa mateka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Hii ndiyo sababu baba zetu wameanguka kwa upanga na ndiyo sababu wana wetu na binti zetu, pia wake zetu wamekuwa mateka. Tazama sura |