Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 29:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, kama aliyoyafanya Daudi babaye.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile alivyofanya Daudi, babu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile alivyofanya Daudi, babu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama vile alivyofanya Daudi, babu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu kama Daudi baba yake alivyofanya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana kama Daudi baba yake alivyofanya.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 29:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Abiya, binti Zekaria.


Naye BWANA alikuwa pamoja na Yehoshafati, kwa kuwa alikwenda katika njia za kwanza za Daudi babaye, asiyatafute Mabaali;


lakini alimtafuta Mungu wa baba yake, akaenda katika amri zake, wala si katika matendo ya Israeli.


Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, sawasawa na yote aliyoyafanya Amazia babaye.


Ahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala katika Yerusalemu miaka kumi na sita; wala hakufanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, kama Daudi babaye;


Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, akaziendea njia za Daudi babaye, asigeuke kwa kulia wala kwa kushoto.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo