2 Mambo ya Nyakati 28:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Tena Ahazi akakusanya vyombo vyote vya nyumba ya Mungu, akavikata vipande vipande vyombo vya nyumba ya Mungu, akaifunga milango ya nyumba ya BWANA; akajijengea madhabahu katika kila pembe ya Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Zaidi ya hayo, alivikusanya vifaa vyote vya nyumba ya Mungu, akavikatakata vipandevipande, kisha akaifunga milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kujijengea madhabahu katika kila pembe ya Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Zaidi ya hayo, alivikusanya vifaa vyote vya nyumba ya Mungu, akavikatakata vipandevipande, kisha akaifunga milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kujijengea madhabahu katika kila pembe ya Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Zaidi ya hayo, alivikusanya vifaa vyote vya nyumba ya Mungu, akavikatakata vipandevipande, kisha akaifunga milango ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu na kujijengea madhabahu katika kila pembe ya Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Ahazi akakusanya vyombo vya nyumba ya Mungu na kuvivunja vipande vipande. Akafunga milango ya Hekalu la Mwenyezi Mungu na kusimamisha madhabahu katika kila njia panda ya barabara za Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Ahazi akakusanya pamoja vyombo vya nyumba ya Mungu na kuvivunja vipande vipande. Akafunga milango ya Hekalu la bwana na kusimamisha madhabahu katika kila njia panda ya barabara za Yerusalemu. Tazama sura |