Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 28:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

22 Na wakati alipofadhaishwa, akazidi kumwasi BWANA, huyo mfalme Ahazi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Wakati alipokuwa taabuni zaidi, mfalme huyu Ahazi alizidi kumwasi Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa bwana.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 28:22
10 Marejeleo ya Msalaba  

Baada ya hayo Yeroboamu hakuiacha njia yake mbovu, lakini akafanya tena makuhani wa mahali pa juu, wa watu wowote.


Hata alipokuwa katika taabu, akamsihi BWANA, Mungu wake, akajinyenyekeza sana mbele za Mungu wa baba zake.


Esta akasema, Ni mtesi, tena ni adui, ndiye huyu Hamani, mtu mbaya kabisa. Mara Hamani akaingiwa na hofu mbele ya mfalme na malkia.


Uniite siku ya mateso; Nitakuokoa, nawe utanitukuza.


Kumbe! Huyu ndiye mtu yule, Asiyemfanya Mungu kuwa kimbilio lake. Aliutumainia wingi wa mali zake, Na kufanya mali kimbilio lake.


Mbona mnataka kupigwa, hata sasa, hata mkazidi kuasi? Kichwa chote ni kigonjwa, moyo wote umezimia.


Ee BWANA, macho yako je! Hayaangalii uaminifu? Umewapiga, lakini hawakuhuzunika; umewakomesha, lakini wamekataa kurudiwa wamefanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko mwamba wamekataa kurudi.


Kwa maana kuna kujaribiwa; itakuwaje, basi, ikiwa upanga unaidharau hiyo fimbo? Haitakuwapo tena; asema Bwana MUNGU.


Nitakwenda zangu niparudie mahali pangu, hata watakapoungama makosa yao na kunitafuta uso wangu; katika taabu yao watanitafuta kwa bidii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo