2 Mambo ya Nyakati 28:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Haya, nisikieni mimi basi, mwarudishe wafungwa, mliowachukua mateka wa ndugu zenu; kwa maana ghadhabu ya BWANA iliyo kali iko juu yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Sasa sikieni yale nisemayo: Warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Sasa sikieni yale nisemayo: Warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Sasa sikieni yale nisemayo: warudisheni ndugu zenu na dada zenu mliowateka, maana ghadhabu kali ya Mwenyezi-Mungu iko juu yenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya Mwenyezi Mungu iko juu yenu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Basi nisikilizeni! Mkawarudishe mateka mliowachukua kutoka kwa ndugu zenu, kwa kuwa hasira kali ya bwana iko juu yenu.” Tazama sura |