2 Mambo ya Nyakati 27:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Yothamu akalala na babaze, wakamzika katika mji wa Daudi; na Ahazi mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi. Naye Ahazi mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi. Naye Ahazi mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Alifariki na kuzikwa katika mji wa Daudi. Naye Ahazi mwanawe akatawala mahali pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Yothamu akalala na baba zake na akazikwa katika Mji wa Daudi. Naye Ahazi mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Yothamu akalala na baba zake na akazikwa katika Mji wa Daudi. Naye Ahazi mwanawe akawa mfalme baada yake. Tazama sura |