2 Mambo ya Nyakati 27:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yothamu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, akatawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Tazama sura |