2 Mambo ya Nyakati 26:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Azaria kuhani mkuu na makuhani wote wakamtazama, na angalia, alikuwa na ukoma pajini mwa uso, wakamtoa humo upesi; hata na yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa sababu BWANA amempiga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Azaria, kuhani mkuu, na wale makuhani wengine, walimtazama, kisha wakaharakisha kumtoa nje; hata yeye mwenyewe akafanya haraka kutoka, kwa maana Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwadhibu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Azaria kuhani mkuu pamoja na makuhani wengine wote walipomtazama wakaona kwamba alikuwa na ukoma pajini lake, wakaharakisha kumtoa nje. Naam, hata yeye mwenyewe alitamani kuondoka kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa amempiga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Azaria kuhani mkuu pamoja na makuhani wengine wote walipomtazama wakaona kwamba alikuwa na ukoma penye kipaji chake cha uso wakaharakisha kumtoa nje. Naam, hata yeye mwenyewe alikuwa anatamani kuondoka kwa sababu bwana alikuwa amempiga. Tazama sura |