Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 26:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Azaria kuhani akaingia nyuma yake, na pamoja naye makuhani themanini wa BWANA, mashujaa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Lakini kuhani Azaria, pamoja na makuhani wengine mashujaa themanini, wakamfuata mfalme

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa Mwenyezi Mungu wenye ujasiri wakamfuata ndani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa bwana wenye ujasiri wakamfuata huko ndani.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 26:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

tena Sadoki, kijana shujaa, na wa nyumba ya babaye, makamanda ishirini na wawili.


Naye mwanawe Shemaya akazaliwa wana, walioongoza ukoo wa baba yao; kwa kuwa walikuwa wanaume mashujaa.


na Yohana akamzaa Azaria (ndiye huyo aliyefanya kazi ya ukuhani katika nyumba aliyoijenga Sulemani huko Yerusalemu)


wakamzuia Uzia mfalme, wakamwambia, Si haki yako, Uzia, kumfukizia BWANA uvumba, ila ni haki ya makuhani wana wa Haruni, waliofanywa wakfu, ili wafukize uvumba; toka katika patakatifu; kwa kuwa umekosa; wala haitakuwa kwa heshima yako kutoka kwa BWANA, Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo