2 Mambo ya Nyakati 26:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Uzia akawapatia jeshi lote ngao na mikuki, na chapeo, na deraya za madini, na nyuta, na mawe ya kupiga kwa teo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Uzia aliwapa askari hao ngao, mikuki, kofia za chuma, deraya, pinde na mawe kwa ajili ya kupiga kwa kombeo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Uzia akalipatia jeshi lote ngao, mikuki, chapeo, dirii, pinde na mawe ya kombeo. Tazama sura |