Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 25:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Amazia akamwambia mtu wa Mungu, Lakini tuzifanyieje zile talanta mia moja nilizowapa jeshi la Israeli? Mtu wa Mungu akajibu, BWANA aweza kukupa zaidi sana kuliko hizo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Amazia akamwuliza huyo mtu wa Mungu, “Tutafanyaje na fedha yote ambayo nimekwisha wapa wanajeshi wa Israeli?” Naye akamjibu, “Mwenyezi-Mungu anaweza kukupa zaidi ya hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Amazia akamwuliza huyo mtu wa Mungu, “Tutafanyaje na fedha yote ambayo nimekwisha wapa wanajeshi wa Israeli?” Naye akamjibu, “Mwenyezi-Mungu anaweza kukupa zaidi ya hiyo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Amazia akamwuliza huyo mtu wa Mungu, “Tutafanyaje na fedha yote ambayo nimekwisha wapa wanajeshi wa Israeli?” Naye akamjibu, “Mwenyezi-Mungu anaweza kukupa zaidi ya hiyo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Amazia akamuuliza yule mtu wa Mungu, “Lakini itakuwaje kwa zile talanta mia moja za fedha nilizolipa kwa ajili ya haya majeshi ya Israeli?” Yule mtu wa Mungu akajibu, “Mwenyezi Mungu aweza kukupa zaidi ya hizo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Amazia akamuuliza yule mtu wa Mungu, “Lakini itakuwaje kwa zile talanta 100 za fedha nilizolipa kwa ajili ya haya majeshi ya Israeli?” Yule mtu wa Mungu akajibu, “bwana aweza kukupa zaidi sana ya hizo.”

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 25:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Amazia akaachilia jeshi lililomjia kutoka Efraimu, ili warudi kwao; kwa hiyo hasira yao ikawaka sana juu ya Yuda, nao wakarudi kwao wenye hasira kali.

Nchi na vyote vilivyomo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.

Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo.

Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo