2 Mambo ya Nyakati 25:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Naye Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda, akaishi miaka kumi na mitano baada ya kufa kwake Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Amazia mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na mitano baada ya kifo cha mfalme Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Amazia mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na mitano baada ya kifo cha mfalme Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Amazia mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na mitano baada ya kifo cha mfalme Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na tano baada ya kifo cha Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda aliishi miaka kumi na mitano baada ya kifo cha Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli. Tazama sura |