2 Mambo ya Nyakati 25:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Basi ikawa, Amazia alipokwisha rudi kutoka kuwaua Waedomi, alileta miungu ya wana wa Seiri, akaisimamisha kuwa miungu yake, akaisujudia, akaifukizia uvumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Amazia aliporejea baada ya kuwashinda Waedomu, alileta miungu ya Waedomu akaifanya kuwa miungu yake, akaisujudia na kuifukizia ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Amazia aliporejea baada ya kuwashinda Waedomu, alileta miungu ya Waedomu akaifanya kuwa miungu yake, akaisujudia na kuifukizia ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Amazia aliporejea baada ya kuwashinda Waedomu, alileta miungu ya Waedomu akaifanya kuwa miungu yake, akaisujudia na kuifukizia ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Amazia aliporudi kutoka kuwaua Waedomu, alileta pia kutoka huko miungu ya watu wa Seiri. Akaisimamisha kama miungu yake mwenyewe, akaisujudia na kuitolea sadaka za kuteketezwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Amazia aliporudi kutoka kuwachinja Waedomu, alileta pia kutoka huko miungu ya watu wa Seiri. Akaisimamisha kama miungu yake mwenyewe, akaisujudia na kuitolea kafara za kuteketezwa. Tazama sura |