2 Mambo ya Nyakati 25:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Na elfu kumi wengine, ambao wana wa Yuda waliwachukua wakiwa hai, wakawaleta juu ya jabali, wakawaangusha chini toka juu ya jabali, hadi wakavunjikavunjika wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Waliteka watu 10,000, wakawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini miambani, wakapondeka vipandevipande. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Waliteka watu 10,000, wakawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini miambani, wakapondeka vipandevipande. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Waliteka watu 10,000, wakawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini miambani, wakapondeka vipandevipande. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Jeshi la Yuda pia likawateka watu elfu kumi wakiwa hai, likawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini kwa nguvu, wote wakavunjika vipande vipande. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Jeshi la Yuda pia likawateka watu 10,000 wakiwa hai, likawapandisha juu ya jabali na kuwatupa chini kwa nguvu hata wote wakavunjika vipande vipande. Tazama sura |