2 Mambo ya Nyakati 24:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Basi mfalme akaamuru, nao wakatengeneza kasha, wakaliweka nje langoni pa nyumba ya BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Basi, mfalme aliwaamuru Walawi, wakatengeneza sanduku la matoleo na kuliweka nje ya lango la nyumba ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa amri ya mfalme, likatengenezwa kasha, nalo likawekwa nje kwenye lango la Hekalu la Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa amri ya mfalme, likatengenezwa kasha, nalo likawekwa nje kwenye lango la Hekalu la bwana. Tazama sura |