Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 24:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

4 Ikawa baada ya haya, Yoashi alikuwa na nia ya kuitengeneza nyumba ya Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Baadaye Yoashi aliamua kurekebisha nyumba ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Baada ya muda, Yoashi akaamua kukarabati Hekalu la bwana.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 24:4
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaiacha nyumba ya BWANA, Mungu wa baba zao; wakatumikia Maashera na sanamu; ghadhabu ikawajia Yuda na Yerusalemu kwa sababu ya hiyo hatia yao.


Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike.


Kwa kuwa wana wa Athalia, yule mwanamke mwovu, walikuwa wameibomoa nyumba ya Mungu; na vitakatifu vyote vya nyumba ya BWANA wamewapatia Mabaali.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo