Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




2 Mambo ya Nyakati 24:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zote za Yehoyada kuhani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Wakati wote kuhani Yehoyada alipokuwa hai Yoashi alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu miaka yote ya Yehoyada kuhani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa bwana miaka yote ya Yehoyada kuhani.

Tazama sura Nakili




2 Mambo ya Nyakati 24:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA siku zake zote Yehoyada kuhani alizomfundisha.


Yehoyada akamwoza wake wawili, naye akazaa watoto wa kiume na wa kike.


Akafanya yaliyo ya adili machoni pa BWANA, lakini si kwa moyo mkamilifu.


Bwana akanena, Kwa kuwa watu hawa hunikaribia na kuniheshimu kwa vinywa vyao, bali mioyo yao wamefarakana nami, na kicho chao walichonacho kwangu ni maagizo ya wanadamu waliyofundishwa;


Bali mwenye haki atakapoghairi, na kuiacha haki yake, na kutenda uovu, na kufanya machukizo yote kama yale afanyayo mtu mwovu, je, ataishi? Katika matendo yake yote ya haki aliyoyatenda halitakumbukwa hata mojawapo. Katika kosa lile alilolikosa, naam, katika dhambi yake aliyoitenda, atakufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo