2 Mambo ya Nyakati 24:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wakafurahi wakuu wote na watu wote, wakaleta na kutia ndani ya kasha, hadi wakaisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wakuu wote na watu wote walifurahi wakaleta kodi yao wakaitumbukiza kwenye sanduku mpaka walipomaliza kufanya hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Maafisa wote na watu wote wakaleta michango yao kwa furaha, wakaweka kwenye kasha hadi likajaa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Maafisa wote na watu wote wakaleta michango yao kwa furaha, wakaweka kwenye kasha mpaka likajaa. Tazama sura |
Ikawa wakati walipoletewa kasha wasimamizi wa mfalme kwa mkono wa Walawi, nao wakaona ya kwamba kuna fedha nyingi, huja karani wa mfalme, na msimamizi wake kuhani mkuu, wakatoa yaliyomo kashani, kisha hulichukua kasha, na kulirudisha mahali pake. Ndivyo walivyofanya siku kwa siku, wakakusanya fedha tele.