Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

2 Mambo ya Nyakati 24:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala; akatawala miaka arubaini huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka arubaini huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Sibia kutoka Beer-sheba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka arubaini huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Sibia kutoka Beer-sheba.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka arubaini huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Sibia kutoka Beer-sheba.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka arobaini. Mama yake aliitwa Sibia aliyekuwa ametoka Beer-Sheba.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka arobaini. Mama yake aliitwa Sibia aliyekuwa ametoka Beer-Sheba.

Tazama sura Nakili

2 Mambo ya Nyakati 24:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.

Yoashi alikuwa na umri wa miaka saba alipoanza kutawala.

Katika mwaka wa saba wa Yehu, Yoashi alianza kutawala; akatawala miaka arubaini huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

na mwanawe huyo ni Yehoramu; na mwanawe huyo ni Ahazia; na mwanawe huyo ni Yoashi;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo