2 Mambo ya Nyakati 23:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Basi wakafurahi watu wote wa nchi, na mji ukatulia baada ya Athalia kuuawa kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kwa hiyo wakazi wote walishangilia; na mji wote ulikuwa mtulivu baada ya Athalia kuuawa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kwa hiyo wakazi wote walishangilia; na mji wote ulikuwa mtulivu baada ya Athalia kuuawa kwa upanga. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kwa hiyo wakazi wote walishangilia; na mji wote ulikuwa mtulivu baada ya Athalia kuuawa kwa upanga. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 nao watu wote wa nchi wakafurahi. Mji ukatulia kwa sababu Athalia alikuwa ameuawa kwa upanga. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 nao watu wote wa nchi wakafurahi. Mji ukatulia kwa sababu Athalia alikuwa ameuawa kwa upanga. Tazama sura |