2 Mambo ya Nyakati 23:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Akawaweka walinzi malangoni pa nyumba ya BWANA, asiingie aliye najisi kwa namna yoyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Aliweka mabawabu malangoni mwa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ili asije akaingia mtu yeyote aliye najisi kwa namna moja au nyingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la Mwenyezi Mungu ili kwa vyovyote asije akaingia mtu yeyote aliye najisi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la bwana ili kwamba kwa vyovyote asije akaingia mtu yeyote aliye najisi. Tazama sura |